BBC News, Swahili - Habari

Habari kuu

Siku 100 za Rais Samia madarakani

Changamoto na hatua zilizopigwa katika siku 100 za Rais Samia madarakani

Jumamosi ya Juni 26, Samia Suluhu Hassan anatimiza siku 100 madarakani, fahamu changamoto na mafanikio yake.

Taarifa kuhusu Coronavirus

Tuyajenge

Sikiliza, Je unafahamu nini kuhusu afya ya akili?, Muda 28,57

Unatambua kwamba mtu anaweza kuwa na matatizo ya afya yake ya akili?

Global Newsbeat

Sikiliza, Burna Boy ndiye mshindi wa tuzo za BET, Muda 2,00

Burna Boy ambaye jina lake kamili ni Damini Ebunoluwa Ogulu alitawazwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mara ya pili baada ya kuibuka mshindi mwaka uliopita.

Picha za kuvutia za chombo cha Nasa siku 100 za kwanza katika sayari ya Mars

Chombo cha Nasa cha anga za mbali kinasherehekea siku 100 za kwanza (sols) tangu kilipotua katika sayari ya Mars, ambako kinachunguza ishara za maisha ya vijidudu vya zamani, jiolojia ya safari hiyo na hali ya hewa ya zamani ilivyokuwa.

Dira TV

Vipindi vya Redio

 • Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 12 Julai 2021, Muda 29,30

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • Sikiliza, Wiki Hii, 07:00, 10 Julai 2021, Muda 29,00

  Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki

 • Sikiliza, Wiki Hii, 06:00, 10 Julai 2021, Muda 29,00

  Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki

 • Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 9 Julai 2021, Muda 1,00,00

  Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

 • Gumzo mitandaoni

  • Matumizi ya Lugha

   Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.

  • Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57

   Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.